read
news & Articles

Timu yarejea salama Dar es Salaam
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam usiku huu kutoka Tanga baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal

Tumepata pointi tatu za Coastal
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union uliopigwa Uwanja wa Mkwakwani umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1. Freddy Michael

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Coastal Leo
Kikosi chetu leo saa 12 kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga kuikabili Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hiki hapa

Leo tupo Mkwakwani kuikabili Coastal
Leo saa 12 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani kuikabili Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia kwenye mchezo

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mkwakwani
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal

Timu yafanya mazoezi ya utimamu kabla kuanza safari kuelekea Tanga
Kikosi kimefanya mazoezi ya utimamu wa mwili saa tatu asubuhi kabla ya kuanza safari ya kuelekea jijini Tanga tayari kwa mchezo dhidi ya Coastal Union
