KIkosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Azam

Kikosi chetu leo saa mbili usiku kitashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano.

Kocha Abdelhak Benchikha amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili kwenye kikosi ukilinganisha na kile kilichocheza mechi ya kwanza dhidi ya KVZ.

Benchikha amewaanzisha Babacar Sarr na Said Ntibazonkiza kuchukua nafasi za Mzamiru Yassin na Clatous Chama.

Hiki hapa kikosi kilichopangwa:

Ayoub Lakred (40), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Malone (20), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Freddy Michael (18), Said Ntibazonkiza (10), Willy Onana (7).

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), David Kameta (3), Hussein Kazi (16), Abdallah Hamis (13), Mzamiru Yassin (19), Edwin Balua (37), Saleh Karabaka (23), Ladaki Chasambi (36), Pa Omar Jobe (2).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER