read
news & Articles

Tupo Uwanja wa Majaliwa kuikabili Namungo Leo
Kikosi chetu leo saa 12 jioni kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa Ruangwa Mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya

Mgunda ajiunga na timu aongoza mazoezi ya mwisho Ruangwa
Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda tayari amejiunga na kikosi na jioni hii ameiongoza timu kwenye mazoezi ya mwisho yaliyofanyika Uwanja wa Majaliwa kuelekea mchezo wa

Queens yazidi kupaa TWPL
Timu yetu ya Simba Queens imezidi kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili JKT
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Azam Complex saa 10 jioni kuikabili JKT Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL). Queens inaingia

Kauli ya Kocha Matola kuelekea mchezo dhidi ya Namungo
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo utakaopigwa kesho saa 12 jioni katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa

Timu yarejea Dar na kuunganisha Ruangwa
Kikosi chetu kimerejea jijini Dar es Salaam mchana huu kutoka Zanzibar na moja kwa moja kimeunganisha Ruangwa kwa ajili mchezo wa Ligi Kuu NBC dhidi