Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Azam Complex saa 10 jioni kuikabili JKT Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).
Queens inaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu nzuri ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Yanga Princess.
Kikosi kamili kilivyopangwa:
Carolyne Rufa (28), Fatuma Issa (5), Ruth Ingosi (20), Violeth Nicholaus (26), Daniela Ngoyi (22), Ritticia Nabosa (27), Eliza Wambui (4), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (25), Aisha Juma (10), Asha djafar (24).
Wachezaji wa Akiba:
Zubeda Mgunda (29), Diana Mnally (15), Olaiya Barakat (9), Esther Mayala (23), Shelda Boniface (39), Danai Bhobho (40), Joanitah Ainembabazi (16), Asha Rashid (14), Mwanahamis Omary (7).