Timu yarejea Dar na kuunganisha Ruangwa

Kikosi chetu kimerejea jijini Dar es Salaam mchana huu kutoka Zanzibar na moja kwa moja kimeunganisha Ruangwa kwa ajili mchezo wa Ligi Kuu NBC dhidi ya Namungo FC.

Timu imeondoka na jumla ya wachezaji 21 pamoja na benchi la ufundi

Kikosi chetu kitacheza na Namungo Jumanne saa 12 jioni katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER