read
news & Articles

VIDEO:Kocha Mgunda azungumzia maandalizi ya mchezo dhidi ya Kagera
Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda amesema maandalizi kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar yamekamilika. Mgunda amesema utakuwa mchezo

Timu kuondoka mchana kuifuata Kagera Kaitaba
Kesho saa sita mchana kikosi chetu kitasafiri kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Jumapili.

Highlights: Azam 0-3 Simba
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Benjamin

Mgunda: Ushindi dhidi ya Azam umetuongezea morali
Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda amesema ushindi mnono wa mabao 3-0 tuliopata dhidi Azam FC umetuongezea morali kuelekea kumaliza msimu. Mgunda amesema ushindi huo ni

Tumeondoka na Pointi zote mbele ya Azam kwa Mkapa
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Benjamin

Queens yaendelea kutoa dozi TWPL
Timu yetu ya Simba Queens imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Bunda Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) uliopigwa