Highlights: Azam 0-3 Simba

Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Tazama jinsi mabao yote yalivyofungwa na mchezo kwa ujumla ulivyokuwa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER