Tumetoka sare na KMC
Kikosi chetu leo kimecheza mechi ya kirafiki ya kimazoezi dhidi ya KMC iliyomalizika kwa sare ya kufungana bao moja iliyopigwa katika dimba la KMC
Kikosi chetu leo kimecheza mechi ya kirafiki ya kimazoezi dhidi ya KMC iliyomalizika kwa sare ya kufungana bao moja iliyopigwa katika dimba la KMC
Simba Queens imeendeleza ubabe baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania
Leo saa 10 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya
Kocha Mkuu wa Simba Queens Yussif Basigi amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi ya Wanawake dhidi ya Yanga Princess yamekamilika na wachezaji
Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imetoa tarehe rasmi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Pamba Jiji ambao utapigwa Novemba 22. Mchezo
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema kipindi cha kwanza tulitengeneza nafasi nyingi za kufunga ambazo zingetufanya kupata mabao mengi zaidi. Kocha Fadlu amewamwangia sifa wachezaji
Ushindi wa mabao 4-0 tuliopata dhidi ya KMC katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la KMC Complex umetufanya kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili KMC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu Davids
Nyota wetu watano ni miongoni mwa wachezaji 26 walioitwa na Kocha Hemed Morocco kwa ajili ya mchezo wa kufuzu fainali za Afrika (AFCON) dhidi