
Queens yaendeleza makali yake Mara
Simba Queens imeendeleza ubabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Bunda Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa
Simba Queens imeendeleza ubabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Bunda Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa
Simba Queens leo saa 10 jioni itashuka katika Uwanja wa Karume mkoani Mara kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL)
Kocha Mkuu Fadlu Davids ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars utakuwa mgumu lakini tumejiandaa
Kikosi chetu kimefanya mazoezi asubuhi katika Uwanja wa Mo Simba Arena ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC
Bao la dakika ya mwisho lililofungwa kwa mkwaju wa penati na kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua limetuwezesha kutupa ushindi dhidi ya JKT Tanzania katika
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Tanzania katika muendeleo wa Ligi Kuu ya NBC. Hapana shaka
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC Complex kwa ajili ya mchezo Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania utakuwa mgumu na tutaingia uwanjani kwa kuwaheshimu.
Simba Queens imezidi kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania TWPL baada ya kuifunga Mashujaa Queens mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa