VIDEO: Ahmed ambatiza jina jipya Mpanzu
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema kuanzia sasa kiungo mshambuliaji, Elie Mpanzu ataitwa ‘Volcano’ kutokana na kasi aliyonayo hasa anaposhambulia lango
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema kuanzia sasa kiungo mshambuliaji, Elie Mpanzu ataitwa ‘Volcano’ kutokana na kasi aliyonayo hasa anaposhambulia lango
Kocha Mkuu Fadlu Davids amewapongeza wachezaji kwa kiwango safi dhidi ya Coastal Union na kupelekea ushindi wa mabao matatu tukiwa hatujaruhusu bao. Fadlu amesema
Mshambuliaji Steven Mukwala amefunga hat trick katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja
Leo saa 10 jioni tutashuka katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuikabili Coastal Union katika mchezo wa 21 wa Ligi Kuu ya
Leo saa 10 jioni tutashuka katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuikabili Coastal Union katika mchezo wa 21 wa Ligi Kuu ya
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema pamoja na ubora walionao Coastal Union lakini tumejipanga kuhakikisha tunapambana ili kupata alama tatu kwenye mchezo wa kesho wa
Droo ya michuano ya Samia Women’s Super Cup imekamilika na kikosi chetu cha Simba Queens kimepangwa na JKT Queens katika mchezo wa nusu fainali
Kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua amesema anapoingia uwanjani jambo la kwanza ni kuisaidia timu kupata ushindi kufunga au kuasisti hilo jambo la ziada kwake.
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema makosa mawili ya dakika ya mwanzo na ya mwisho yametugharimu na kupelekea sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC ‘Mzima Dabi’ uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa sare ya kufungana mabao