
VIDEO: Lake Energies yafurahi ushirikiano na Simba
Meneja wa Kampuni ya uuzaji wa mafuta ya petroli, Diesel na Ndege ya Lake Energies, Muharami Mdemi amesema wamefurahi ushirikiano waliongia na klabu wa
Meneja wa Kampuni ya uuzaji wa mafuta ya petroli, Diesel na Ndege ya Lake Energies, Muharami Mdemi amesema wamefurahi ushirikiano waliongia na klabu wa
Kikosi cha Simba Queens kimeondoka asubuhi kuelekea jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) dhidi ya Gets Program
Kikosi chetu leo kimeanza mazoezi kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa hatua ya 16 bora ya CRDB Federation Cup utakaopigwa
Kikosi chetu leo kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa hatua ya 16 bora ya CRDB Federation Cup utakaopigwa Machi, 27 katika Uwanja wa KMC
Simba Queens imepoteza mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) baada ya kufungwa bao moja dhidi ya Yanga Princess katika mchezo
Leo saa 10 Simba Queens itashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL). Miongoni
Kocha Mkuu wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema kikosi chake kipo kamili kwa ajili ya mchezo wa Dabi dhidi ya Yanga Princess utakaopigwa kesho
Tumefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa katika Uwanja wa KMC
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Dodoma Jiji katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mlinzi wa
Nyota wetu sita wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kujiandaa na mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia