read
news & Articles
Mgunda: Tulicheza kwa kufuata maelekezo
Kocha Mkuu, Juma Mgunda amesema licha ya ushindi wa mabao 2-0 tuliopata dhidi ya Mtibwa Sugar mechi haikuwa rahisi lakini lakini wachezaji walicheza huku wakifuata
VIDEO: Ahmed afunguka baada ya ushindi wa Mtibwa
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema ushindi wa mabao 2-0 tuliopata dhidi Mtibwa Sugar ulikuwa muhimu kwetu kwakuwa unaendelea kurudisha hali ya
Highlights: Simba 2-0 Mtibwa Sugar
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar uliopigwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi umemalizika kwa kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao
Tumezipata pointi tatu za Mtibwa
Timu yetu imefanikiwa kuibuka na ushindi mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Mtibwa Sugar
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kaimu kocha
Tabiri kikosi kitakachopagwa dhidi ya Mtibwa Leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tabiri hapa