
Kauli ya Kocha Basigi kuelekea mchezo dhidi ya JKT Queens
Kocha Mkuu wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake dhidi ya JKT Queens ni muhimu kwakuwa utaamua hatima ya
Kocha Mkuu wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake dhidi ya JKT Queens ni muhimu kwakuwa utaamua hatima ya
Kikosi chetu kimefanikiwa kupata ushindi wa bao moja katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania uliopigwa katika Uwanja wa Meja
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Kocha
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kuikabili JKT Tanzania katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mohamed Dewji ‘Mo’ leo ameongoza kikao cha Bodi ya Wakurugenzi ambacho lengo lake ni kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema wachezaji wetu wameandaliwa kimwili na kiakili kucheza mechi hizi za mwisho wakati ligi ikiwa inaelekea ukingoni. Matola amesema ligi
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa katika Uwanja wa
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Mkuu
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao tunategemea
Kocha Msaidizi, Seleman Matola ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mashujaa FC utakuwa mgumu lakini tumejiandaa kuhakikisha