Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mohamed Dewji ‘Mo’ leo ameongoza kikao cha Bodi ya Wakurugenzi ambacho lengo lake ni kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya klabu.
Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Mohamed Interprises (METL) Posta jijini Dar es Salaam.
Tumekuwekea picha matukio mbalimbali wakati kikao hicho kikiwa kinaendelea.