Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
KIkosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kabla ya kesho kuanza safari ya kuelekea Zanzibar kwa ajili ya mchezo
KIkosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kabla ya kesho kuanza safari ya kuelekea Zanzibar kwa ajili ya mchezo
Tumefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Al Ahli
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Ahly Tripoli kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Ahli Tripoli katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa tayari kwa mchezo wa kesho wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema katika mchezo wa kesho wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli kutoka Libya tutacheza
Mchezo wetu unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC ‘Mzizima Derby’ utapigwa Septemba 26 katika Uwanja wa New Amaan Complex Visiwani
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema tumeuchukulia kwa umuhimu mkubwa mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al
Nahodha wa timu Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amesema kikosi chetu kipo tayari kupambana hadi mwisho katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika
Kikosi chetu kimeondoka Libya kuelekea nchini Uturuki tayari kuanza safari ya kurejea nyumbani kujiandaa na mechi ya marudiano dhidi ya Al Ahli Tripoli. Baada