
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya TMA Stars
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili TMA Stars katika mchezo wa hatua ya 32 bora ya michuano
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili TMA Stars katika mchezo wa hatua ya 32 bora ya michuano
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC Complex tayari kwa mchezo wa hatua ya 32 ya CRDB Federation Cup dhidi ya
Kocha mkuu, Fadlu Davids amesema amewaandaa wachezaji kimwili na kiakili kuelekea mchezo wa hatua ya 32 bora ya CRDB Federation Cup dhidi ya TMA
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amewaomba mashabiki wetu kujitokeza kwa wingi kesho katika Uwanja wa KMC Complex katika mchezo wa hatua
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema maandalizi ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga yamekamilika na kila kitu kipo sawa. Fadlu amesema tumepata
Kikosi chetu cha Simba Queens kimeshindwa kutinga fainali ya michuano ya Samia Women’s Super Cup baada ya kupoteza kwa bao moja dhidi ya JKT
Leo saa 10:15 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya kuikabili JKT Queens kwenye mchezo wa
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema kuanzia sasa kiungo mshambuliaji, Elie Mpanzu ataitwa ‘Volcano’ kutokana na kasi aliyonayo hasa anaposhambulia lango
Kocha Mkuu Fadlu Davids amewapongeza wachezaji kwa kiwango safi dhidi ya Coastal Union na kupelekea ushindi wa mabao matatu tukiwa hatujaruhusu bao. Fadlu amesema
Mshambuliaji Steven Mukwala amefunga hat trick katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja