Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Chama afunguka kuhusu tuzo ya mchezaji bora

15 Apr 2026

Chama amesema jambo la kwanza kwa kila mchezaji ni kuisadia timu yake kupata matokeo na ndicho alichofanya huku akisema timu kubwa inatakiwa kuwa na muendelezo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Chama amezungumzia mchezo ujao dhidi ya Namungo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story