Abel amesema wachezaji wengi walioanza kwenye mchezo dhidi ya Mafunzo FC walikuwa vijana ndio maana kocha aliamini angeweza kuwaongoza wachezaji wenzake uwanjani.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Abel amezungumzia pia mchezo mzima ulivyokuwa.