Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed awamwagia sifa wachezaji ushindi dhidi ya Mafunzo

23 Apr 2026

Ahmed amesema kwa jinsi kikosi kilivyokuwa kimepangwa hautegemei kuona kikifanya vizuri lakini wachezaji wamepambana hadi mwisho kuona timu inatinga nusu fainali.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amechambua viwango vya mchezaji mmoja mmoja huku pia akigusia mchezo wetu wa nusu fainali dhidi ya Mafunzo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story