Semfuko amesema asilimia kubwa ya wachezaji walioanza kwenye mchezo huo ni wale ambao hawapati sana nafasi lakini wamepambana kuhakikisha ushindi unapatikana.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Semfuko ameitoa tuzo ya mchezaji bora wa mechi kwa wachezaji wenzake pamoja na mama ya mzazi.