read

news & Articles

Sita waitwa Stars kujiandaa na CHAN

Nyota wetu sita wamejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Afrika kwa wachezaji wa

Tumepoteza Dabi ya Kariakoo

Mchezo wetu wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 2-0. Mchezo huo ulianza kwa kasi

Tupo tayari kwa Dabi ya Kariakoo

Leo saa 11 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo wa

Camara afikia rekodi ya Manula

Mlinda mlango, Moussa Camara ameifikia rekodi ya Aishi Manula ya kutoruhusu bao (Clean sheet) 19 katika mechi za Ligi Kuu msimu huu. Manula alifanya hivyo

Tumechukua Pointi tatu za Kagera

Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa KMC Complex.

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC