#NGUVUMOJA
WELCOME TO SIMBA SPORTS CLUB
Latest:

THIS IS SIMBA * NGUVU MOJA *
NEWS
ANGALIA AGM LIVE >>
ANGALIA AGM LIVE >>
2023
NEWS

Ntibazonkiza akabidhiwa tuzo yake ya Januari
Kiungo mshambuliaji, Saido Ntibazonkiza amekabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Januari (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month). Baada
February 6, 2023

Tumetoka sare na Al Hilal kwa Mkapa
Mchezo wetu wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Al Hilal uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Makabi Lilepo aliwapatia
February 5, 2023

Kikosi Kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Hilal Leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni kuikabili Al Hilal katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Kikosi Kamili kilivyopangwa: Beno
February 5, 2023

Makamu wa Rais wa Al Hilal atua Dar
Makamu wa Rais wa klabu ya Al Hilal, Mohamed Ibrahim amewasili jijini Dar es Salaam mchana huu tayari kushuhudia mchezo wa kirafiki utakaopigiwa Uwanja wa
February 5, 2023

PLAYER OF THE MONTH

FIXTURES
RESULTS
![]() ![]() 3 - 1NBC Premier League
N/A Simba SC Vs Singida BS FC |
RESULTS