Kocha Barker amesema malengo yalikuwa kupata alama tisa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid lakini tumepata saba kiti ambacho sio kibaya.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Barker amezungumzia pia mchezo ujao dhidi ya Namungo.