Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed atoa ratiba baada ya timu kurejea Dar es Salaam

15 Apr 2026

Ahmed amesema kesho jioni wachezaji watafanya mazoezi na keshokutwa asubuhi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Lindi.

Tazama mahojiano haya mpaka mwisho Ahmed amewashukuru mashabiki wetu kutoka Arusha kwa kuilea timu kwenye kipindi chote cha takribani wiki nzima.

Advertisement
Back to homepage
Share this story