Ahmed amesema Kamati ya nidhamu inayoongozwa na, Seleman Kova imemkuta na hatia nyota huyo ambapo ataendelea kufanya mazoezi na vijana mpaka itakavyoamuliwa vinginevyo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amefunguka mambo mengi kuhusu adhabu hiyo.