Simba Sports Club

Tumeachana na Allasane Kante

29 Aug 2026

Baada ya makubaliano ya pande mbili tumeachana rasmi na kiungo wetu Allasane Kante hivyo hatakuwa sehemu ya kikosi chetu kwa msimu wa 26/2027

Advertisement

Kante (26) raia wa Senegal alijiunga nasi Julai 25/2026 kutoka Athlétique Bizertin ya Tunisia kwa mkataba wa miaka miwili.

Uongozi wa klabu unamtakia kila la heri Kante katika maisha yake mapya nje Simba.