Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kuikabili Coastal Union katika mchezo wa nne wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/2027.
Kocha Mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya wachezaji wanne ukilinganisha na kikosi kilichoanza mechi iliyopita dhidi ya Singida Black Stars.
Barker amewaanzisha Djibrilla Kassali, David Kameta 'Duchu', Ibrahim Doumbia na Kaletso Makgalwa kuchukua nafasi za Hussein Abel, Anthony Mligo, Elie Mpanzu na Anicet Oura.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Djibrilla Kassali (39), David Kameta (15), Nathaniel Chilambo (26), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Neo Maema (35), Libbase Gueye (7), Clatous Chama (17), Ibrahim Doumbia (29), Morice Abraham (18), Keletso Makgalwa (11)
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), Vedastus Masinde (4), Ibrahim Nindi (16), Daud Semfuko (37), Bakari Msimu (19), Kelvin Nashon (24), Ismail Mgunda (66), Elie Mpanzu (34), Inno Loemba (10), Anicet Oura (20).