Baada ya kufika Zanzibar kikosi kitafanya mazoezi ya mwisho jioni kujiweka sawa kabla ya kesho kushuka dimbani.
Mchezo dhidi ya Mafunzo utapigwa kesho saa 2:30 usiku katika Uwanja wa New Amaan kuikabili Mafunzo FC.