Simba Queens itaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 2-0 iliyopita dhidi ya Fountain Gate Princess siku ya Alhamisi.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Ruth Aturo (1), Zainah Nandede (11), Asha Omary (12), Emeliana Mdimu (15), Brice Zanga (22), Elizabeth Joseph (21), Vivian Corazone (17), Aisha Mnunka (10), Fasila Adhiambo (29), Jentrix Shikangwa (25), Elizabeth Wambui (4).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Zuhura Waziri (38), Janeth Shija (30), Janeth Nyagali (7), Zawadi Usanase (18), Dotto Evarist (2), Cordelia Amarachi (19), Fatuma Issa (5), Neema Mtunzi (16), Zawadi Hamis (36).