Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri huku morali ikiwa juu tayari kwa mchezo huo.
Tumejiandaa kuingia uwanjani kwa tahadhari zote kuelekea mechi tukiwa na tunafahamu Mlandege ni timu nzuri na tunatarajia watatupa upinzani mkubwa.
Advertisement
Tutaingia kwenye mchezo wa kesho tukiwa na kumbukumbu ya kupoteza mbele ya Mlandege mara ya mwisho tulipokutana.