Morrison mchezaji bora Simba

Kiungo mshambuliaji Bernard Morrison, amechaguliwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month). Morrison raia wa Ghana amewashinda nyota wawili Nahodha John Bocco na Luis Miqiussone ambao aliingia nao fainali ya kinyan'ganyiro…