read
news & Articles

Tumeipiga mkono Kengold Ali Hassan Mwinyi
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kengold uliopigwa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora umemalizika kwa kuibuka na ushindi mnono

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Kengold
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kuikabili Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu Davids

Tupo tayari kuwakabili Kengold Ali Hassan Mwinyi
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora kuikabili Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Ni

Alichosema Kocha Matola kuelekea mchezo dhidi ya Kengold
Kocha Msaidizi, Seleman Matola ameweka wazi kuwa pamoja na Kengold kuwa wameshuka daraja lakini hatutawadharau kwakuwa tunahitaji kupata alama tatu muhimu ugenini. Matola amesema

Timu yawasili salama Tabora
Kikosi chetu kimewasili salama mkoani Tabora tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kengold utakaopigwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

VIDEO: Dkt. Kagabo aelezea hali ya majeruhi kikosini
Daktari wa timu, Edwin Kagabo amesema wachezaji wote waliokuwa majeruhi wamerejea kikosini na wapo tayari kwa ajili ya mechi zilizopo mbele yetu. Mlinda mlango Moussa
