read
news & Articles

Tumepata ushindi dhidi ya Al Zulfi
Kikosi chetu kimeibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Al Zulfi inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza nchini Saudi Arabia kwenye mchezo wa kirafiki. Mchezo

Uzinduzi wa Jezi mpya kufanyika Kimataifa Super Dome Agosti 27
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema uzinduzi wa jezi zetu za msimu 2025/2026 zitazinduliwa Agosti 27 katika ukumbi wa Super Dome Masaki kuanzia saa

Rasmi Simba Day kufanyika Septemba 10 kwa Mkapa
Tamasha letu la Simba Day mwaka huu litafanyika Jumatano ya Septemba 10 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Simba Day hufanyika Agosti 8

Timu yahamishia kambi jijini Cairo
Baada ya kuweka kambi kwa siku 15 katika mji wa Ismailia kikosi chetu leo kimehamia jijini Cairo kuendelea na maandalizi ya msimu mpya wa mashindano

VIDEO: Morice Abraham afunguka kuhusu kambi ya maandalizi nchini Misri
Kiungo mshambuliaji, Morice Abraham amesema maandalizi ya msimu mpya wa mashindano yanayoendelea nchini Misri yanazidi kuwafanya wachezaji kuzidi kuzoeana. Morice amesema maandalizi ni mazuri na

VIDEO: Kocha Fadlu awazungumzia Gaborone United
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema wapinzani wetu Gaborone United kutoka Botswana tuliopangwa nao katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika sio timu ndogo