Simba Sports Club

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Polisi Kenya

8 Aug 2026

Leo saa mbili usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kuikabili Polisi Kenya katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa wa kuhitimisha Tamasha la Simba Day.

Huu ni mchezo wa kwanza kuelekea msimu mpya wa mashindano 2026/2027 ambao mashabiki watapata nafasi ya kukiona kikosi chao chote.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Djibrilla Kassali (39), David Kameta Duchu (15), Nickson Kibabage (3), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libbase Gueye (7), Ibraheem Jabaar (8), Elie Mpanzu (34), Morice Abraham (18), Anicet Oura (20).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (28), Alexander Erasto (42), Nathaniel Chilambo (26), Anthony Mligo (5), Vedastus Masinde (4), Hussein Mbegu (60), Daud Semfuko (37), Bakari Msimu (19), Kelvin Nashon (24), Ibrahim Doumbia (29), Clatous Chama (17), Neo Maema (36), Inno Loemba (10), Keletso Makgalwa (11), Bashiri Kibaila (63).