Leo saa 10:15 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba kuikabili Pamba Jiji kwenye mchezo wa pili wa Ligi Kuu ya NBC.
Kocha mkuu, Steve Barker amefanya mabadiliko ya wachezaji sita ukilinganisha na kilichoanza mechi iliyopita dhidi ya Kagera Sugar.
Kocha Barker amewaanzisha Hussein Abel, Nathaniel Chilambo, Anthony Mligo, Neo Maema, Clatous Chama na Elie Mpanzu wakichukua nafasi za Djibrilla Kassali, David Kameta 'Duchu', Nickson Kibabage, Yusuph Kagoma, Morice Abraham na Ibrahim Doumbia.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Hussein Abel (28), Nathaniel Chilambo (26), Anthony Mligo (5), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Neo Maema (35), Libbase Gueye (7), Ibraheem Jabaar (8), Elie Mpanzu (34), Clatous Chama (17), Anicet Oura (20).
Wachezaji wa Akiba:
Alexander Erasto(42), Vedastus Masinde (4), Ibrahim Nindi (16),Yusuph Kagoma (21), Morice Abraham (18), Daud Semfuko (37), Ibrahim Doumbia (29), Ismail Mgunda (66), Kelvin Nashon (24), Keletso Makgalwa (11).