Simba Sports Club

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Namungo

2 Nov 2026

Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja Uhuru Dar es Salaam kuikabili Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kocha mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kikosi kilichoanza mechi iliyopita dhidi ya Fountain Gate.

Barker amewaanzisha Ibrahim Nindi na Clatous Chama kuchukua nafasi za Ismail Toure na Clatous Chama.

Advertisement

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Djibrilla Kassali (39), Nathaniel Chilambo (26), Anthony Mligo (5), Ibrahim Nindi (16), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libase Gueye (7), Neo Maema (35), Elie Mpanzu (34), Clatous Chama (17), Anicet Oura (20).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (28), David Kameta 'Duchu' (15), Shomari Kapombe (12), Ibraheem Jabaar (8), Bakari Msimu (19), Morice Abraham (18), Ibrahim Doumbia (29), Ismail Mgunda (66), Inno Loemba (11), Keletso Makgalwa (11).