Simba Sports Club

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Mashujaa

13 Oct 2026

Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kuikabili Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kocha mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja tu ukilinganisha na kikosi kilichoanza mechi iliyopita ya Dabi ya Kariakoo.

Barker amemuanzisha kiungo mkabaji Ibraheem Jabaar kuchukua nafasi ya nahodha msaidizi, Rushine De Reuck na kumfanya, Yusuph Kagoma kucheza kama mlinzi wa kati.

Advertisement

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Djibrilla Kassali (39), Nathaniel Chilambo (26), Anthony Mligo (5), Ismail Toure (25), Yusuph Kagoma (21), Ibraheem Jabaar (8), Libase Gueye (7), Neo Maema (35), Elie Mpanzu (34), Clatous Chama (17), Anicet Oura (20).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (28), David Kameta Duchu (15), Nickson Kibabage (3), Ibrahim Nindi (16), Daud Semfuko (37), Bakari Msimu (19), Ibrahim Doumbia (29), Ismail Mgunda (66), Morice Abraham (18), Keletso Makgalwa (11