Simba Sports Club

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Kagera Sugar

16 Aug 2026

Leo 10:00 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/2027.

Kocha mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na kikosi kilichoanza kwenye mchezo uliopita wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga.

Barker amemuanzisha kiungo mshambuliaji, Morice Abraham ambaye amechukua nafasi ya Clatous Chama.

Advertisement

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Djibrilla Kassali (39), David Kameta Duchu (15), Nickson Kibabage (3), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libbase Gueye (7), Ibraheem Jabaar (8), Ibrahim Doumbia (29), Morice Abraham (18),Anicet Oura (20).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (28), Nathaniel Chilambo (26), Anthony Mligo (5), Vedastus Masinde (4), Daud Semfuko (37), Bakari Msimu (19), Neo Maema (35), Elie Mpanzu (34), Clatous Chama (17), Keletso Makgalwa (11).