Leo saa 12:30 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kuikabili Geita Gold katika mchezo wa tano wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/2027.
Kocha Mkuu, Steve Barker amefanya mabadiliko ya wachezaji watatu ukilinganisha na kikosi kilichoanza mechi iliyopita dhidi ya Coastal Union.
Barker amewaanzisha Hussein Mbegu, Elie Mpanzu na Anicet Oura wakichukua nafasi za David Kameta 'Duchu' Ibrahim Doumbia na Kaletso Makgalwa.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Djibrilla Kassali (39), Hussein Mbegu (60), Nathaniel Chilambo (26), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Neo Maema (35), Libbase Gueye (7), Clatous Chama (17), Elie Mpanzu (34), Morice Abraham (18), Anicet Oura (20).
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), Ibrahim Nindi (16), Vedastus Masinde (4), Yusuph Kagoma (21), Bakari Msimu (19), Daud Semfuko (37), Ismail Mgunda (66), Ibrahim Doumbia (29), Inno Loemba (10), Keletso Makgalwa (11).