Leo saa tisa Alasiri kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kuikabili FC 15 De Agosto katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya pili.
Kocha mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na kikosi kilichoanza mechi ya mwisho ya ligi dhidi ya Mashujaa.
Barker amemuanzisha nahodha msaidizi, Rushine De Reuck ambaye amechukua nafasi ya Ibraheem Jabaar.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Djibrilla Kassali (39), Nathaniel Chilambo (26), Anthony Mligo (5), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libbase Gueye (7), Neo Maema (35), Elie Mpanzu (34), Clatous Chama (17), Anicet Oura (20).
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), David Kameta Duchu (15), Nickson Kibabage (3), Ibrahim Nindi (16), Ibraheem Jabaar (8), Bakari Msimu (19), Ibrahim Doumbia (29), Morice Abraham (18), Keletso Makgalwa (11).