Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi kuikabili Azam FC katika 'Mzizima Derby' mchezo wa sita wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/2027.
Kocha Mkuu Steve Barker hajafanya mabadiliko ya mchezaji yoyote ukilinganisha na kikosi kilichoanza mechi iliyopita dhidi ya Might Wanderers.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Djibrilla Kassali (39), Nathaniel Chilambo (26), Anthony Mligo (5), Ismail Toure (25), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Libbase Gueye (7), Neo Maema (35), Elie Mpanzu (34), Clatous Chama (17), Anicet Oura (20).
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), David Kameta Duchu (15), Vedastus Masinde (4), Ibraheem Jabaar (8), Bakari Msimu (19), Morice Abraham (18), Ibrahim Doumbia (29), Ismail Mgunda (66), Inno Loemba (10), Keletso Makgalwa (11).