Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kuikabili FC 15 De Agosto katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kocha mkuu Steve Barker amefanya mabadiliko ya mchezaji saba ukilinganisha na kikosi kilichoanza mechi iliyopita na kuibuka na ushindi wa mabao 6-1.
Barker amewaanzisha David Kameta, Nickson Kibabage, Ibrahim Nindi, Ibraheem Jabaar, Morice Abraham, Ibrahim Doumbia na Kaletso Makgalwa wakichukua nafasi za Nathaniel Chilambo, Anthony Mligo, Ismail Toure, Yusuph Kagoma, Neo Maema, Elie Mpanzu na Anicet Oura.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Djibrilla Kassali (39), David Kameta Duchu (15), Nickson Kibabage (3), Ibrahim Nindi (16), Rushine De Reuck (23), Ibraheem Jabaar (8), Libase Gueye (7), Morice Abraham (18), Ibrahim Doumbia (29), Clatous Chama (17), Keletso Makgalwa (11),
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), Nathaniel Chilambo (26), Anthony Mligo (5), Ismail Toure (25), Neo Maema (35), Bakari Msimu (19), Elie Mpanzu (34), Inno Loemba (10), Anicet Oura (20).