Simba Sports Club

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Top Girls

22 Aug 2026

Leo saa 11 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Pele Kigali kuikabili Top Girls katika mchezo wa kwanza CAF Womens Champions League CECAFA Qualifiers 2026.

Simba Queens itaingia uwanjani kwa lengo moja la kuhakikisha tunapata alama tatu ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kutinga hatua inayofuata.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Ruth Aturo (1), Mary Siyame (8), Aisha Mnunka (10), Zainah Nandede (11), Brice Zanga (22), Vivian Corazone (17), Ruth Ingosi (20), Elizabeth Joseph (21), Esther Mayala (23), Hellen Kutsanedzi (24), Fasila Adhiambo (29).

Wachezaji wa Akiba:

Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Elizabeth Nashon (6), Asha Omary (12), Kusamfula Rida (18), Senaf Demise (19), Zawadi Hamis (9), Dotto Evarist (2), Zuhura Waziri (25).