Leo saa nane mchana kikosi chetu cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja Pele Kigali nchini Rwanda kuikabili Kenya Polisi Bullet katika mchezo wa pili wa CAF Womens Champions League CECAFA Qualifiers 2026.
Simba Queens itaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 2-0 tuliopata katika mechi ya kwanza dhidi ya Top Girls.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Ruth Aturo (1), Asha Omari (12), Fatuma Issa (5), Brice Zanga (13), Ruth Ingosi (20), Elizabeth Joseph (21), Fasila Adhiambo (26), Vivian Corazone (17), Rida Kusamfula (18), Mary Siame (8), Aisha Mnunka (10).
Wachezaji wa Akiba:
Janeth Shija (22), Zuhura Waziri (25), Zaina Nandede (11), Hellen Kutasandezi (24), Zawadi Hamis (9), Senaf Demise (19), Dotto Evarist (2), Elizabeth Nashon (6), Esther Mayala (23).