Leo saa 10 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Queens katika mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii.
Kocha mkuu, Mussa Hassan Mgosi hajafanya mabadiliko yoyote ya wachezaji ukilinganisha na kikosi kilichoanza kwenye mchezo uliopita dhidi ya Yanga Princess.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Ruth Aturo (1), Asha Omary (12), Zaina Nandede (11), Fatuma Isa (5), Ruth Ingosi (20), Vivian Corazone (17), Fasila Adhiambo (29), Elizabeth Joseph (21), Senaf Demise (19), Mary Siyame (8) Aisha Mnunka (10)
Wachezaji wa Akiba:
Janeth Shija (30), Esther Mayala (23), Neema Mtunzi (16), Dotto Evarist (2), Mabinty Camara (3), Shelda Boniface (14), Elizabeth Nashon (6), Janeth Nyagali (7), Violeth Nicholas (26).