Simba Sports Club
News

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Fountain Gate Princess

22 Apr 2026

Queens itaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 3-0 iliyopata dhidi ya Bunda Queens katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Karume, Musoma mkoani Mara.

Hiki hapa kikosi kilichopangwa:

Ruth Aturo (1), Fatuma Issa (5), Emeliana Mdimu (15), Brice Zanga (22), Asha Ramadhan (12), Vivian Corazone (17), Aisha Mnunka (10), Zainah Nandede (11), Fasila Adhiambo (29), Jentrix Shikangwa (25), Elizabeth Wambui (4).

Advertisement

Wachezaji wa Akiba:

Zuhura Waziri (38), Janeth Shija (30), Elizabeth Joseph (21), Elizabeth Nashon (6), Janeth Nyagali (7), Zawadi Usanase (18), Amarachi Cordiela (19).

Back to homepage
Share this story