Simba Sports Club

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Mashujaa Queens

11 Nov 2026

Leo saa 10 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Meja Jenerali Mzee kuikabili Mashujaa Queens katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake Tanzania (WPL).

Simba Queens itaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa bao moja iliyopata katika mechi iliyopata dhidi ya Fountain Gate Princess.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Ruth Aturo (1), Fatuma Issa (5), Asha Omary (12), Violeth Nicholaus (26), Ruth Ingosi (20), Vivian Corazone (17), Elizabeth Joseph (21), Mary Siyame (8), Fasila Adhiambo (29), Aisha Mnunka (10), Senaf Demise (19).

Wachezaji wa Akiba:

Janeth Shija (30), Dotto Evarist (2), Zainah Nandede(11), Brice Zanga (13), Elizabeth Nashon (6), Mabinti Camara (3), Esther Mayala (23), Zawadi Hamis (36), Kusamfula Rida (18).