Simba Sports Club

Hawa hapa nyota wetu walioitwa timu za Taifa

21 Sep 2026

Ligi yetu imesimama kupisha mechi za kalenda ya FIFA ambapo timu za Taifa zinacheza michuano ya kufuzu AFCON pamoja na michezo ya kirafiki.

Wachezaji wetu 10 wameitwa kwenye timu za Taifa kuanzia timu za wakubwa, Vijana chini ya umri wa miaka 23 naiaka 20.

Waliioitwa timu za Taifa za wakubwa ni:

Timu ya Tanzania 'Taifa Stars'

1. Yusuph Kagoma

2. Morice Abraham

3. Nathaniel Chilambo

Timu ya Taifa ya Congo Brazaville

1. Inno Jospin Loemba

Advertisement

Timu ya Taifa Niger

1. Djibrilla Kassali

Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania miaka 23

1. Bakari Msimu

2. Vedastus Masinde

3. Anthony Mligo

Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania chini ya miaka 20 'Ngorongoro Heroes'

1. Bashir Kibaila

2. Hussein Mbegu