read
news & Articles

Valentino Mashaka ni Mnyama
Tumeinasa saini ya mshambuliaji kijana, Valentino Mashaka kutoka Geita Gold kwa mkataba wa miaka miwili. Valentino mwenye umri wa miaka 18 ni kijana mwenye kipaji

Ahoua Jean Charles ni Mnyama
Tumefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast kwa mkataba wa miaka miwili. Ahoua mwenye umri wa miaka 22 tumemsajili

Steven Mukwala ni Mnyama
Mshambuliaji Steven Mukwala raia wa Uganda amejiunga nasi baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kutoka Asante Kotoko ya Ghana. Mukwala mwenye umri wa miaka

Joshua Mutale ni Mnyama
Kiungo mshambuliaji Joshua Mutale raia wa Zambia amejiunga na kikosi chetu baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu akitokea Power Dynamos ya Nchini kwao. Mutale

Simba Day ni Agosti 3
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally ametangaza rasmi kileleni cha Simba week ambapo itafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Agosti 3. Kwa kawaida

Kibu D yupo sana Simba
Kiungo mshambuliaji Kibu Denis ataendelea kusalia klabuni baada ya kuongeza mkataba mpya wa miaka miwili. Kibu ni mmoja wa wachezaji anayejitoa muda wote na mpambanaji
