read
news & Articles

Tumezindua jezi zetu za msimu wa 2024/25 Mikumi
Leo tumezindua jezi kwa tutakazotumia katika msimu mpya wa mashindano 2024/25 ambao utaanza mapema mwezi ujao. Uzinduzi wa jezi hizo bora na za kisasa zimefanywa

King Kiba kutumbuiza Simba Day
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally, amemtangaza nguli wa Bongo Fleva, Ally Kiba kuwa mtumbuizaji mkuu kwenye Tamasha la Simba Day litakalofanyika katika

CEO Kajula aongoza safari ya Moro
Mtendaji Mkuu, Imani Kajula amewaongoza Wansimba kwenye safari ya kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya uzinduzi wa Wiki ya Simba. CEO Kajula ameongozana na Viongozi

Rweyemamu Meneja mpya wa timu
Patrick Rweyemamu ndiye Meneja mpya wa timu akichukua nafasi ya Mikael Igendia ambaye mkataba wake umemalizika. Rweyemamu anarejea kwenye nafasi hiyo baada ya kupita mwaka

Tumepata ushindi dhidi El Qanah
Mchezo wetu wa kirafiki dhidi ya El Qanah FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchini Misri uliopigwa katika Uwanja wa Canal Suez umemalizika kwa kuibuka

Timu yaendelea kujifua Misri, Kagoma afunguka
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi leo kwa kufanya awamu moja tu ya jioni kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa mashindano hapa Ismalia Mısri.
